Lyrics:

Ninakushukuru Yesu tukuza jina lako
Wewe ni kila kitu kwangu
Nionyeshe sura yako
Nikujue zaidi Bwana

Sitakuacha sitakuacha
Umenionyesha wema wako
(rudia *3)

Mweza* wa siku Alpha Omega
Mwanzo na mwisho wa imani Yetu
Ulikuwapo upo utakuwapo

Sitakuacha sitakuacha
Umenionyesha wema wako

Uuuuh uuu uuuuh
aah aaaah

Sitakuacha sitakuacha
Umenionyesha wema wako