Lyrics:
Umenitoa mbali
Kusiko julikana
Kwa Neema yako
Isiyosemekana
Umenitoa kule kusikojulikana
Kwa upendo wako
UsiosemekanaNi Muujiza
Mi kufika hapa
Ni Muujiza
Mi kuwa hai
Ni Muujiza
Kupendwa na wewe Yesu
Ni Muujiza
Kusimama tena

Si kwamba mimi nimetenda wema, saaaana
Si kwamba mimi ni mtakatifu , sanaaaa
Si kwamba mimi ni mnyenyekevu, sanaaaa
Si kwamba mimi nko sawa sawa sawa, sanaaa
Ilaaaaaa

Ni Neema yako Bwana (Neema yako Bwana )
Ni Neema yako Bwana (Neema yako Baba )
Ni Neema yako Bwana (Aiyelelele leleleee)
Neema yako Bwana
Neema yako BwanaDuniani nimekutana na mengii
Taabu na misukosuko
Kuishiwa na kuchoka
Duniani nimepambana na vingii
Kutengwa na kukataliwa
Mimi eeh
Ninaona ajabu
Hukuniacha nilivyo Oh
Ajabu
Hukunipungukia Yesu

Si kwamba mimi nimetenda wema sanaaa

 

Si kwamba mimi ni mtakatifu sanaaaa
Si kwamba mimi ni mnyenyekevu sanaaa
Si kwamba mimi nko sawa sawa sawa
Sanaaa IlaNi Neema yako Bwana (Neema yako Bwana)
Ni Neema yako Bwana (Neema yako Baba)
Ni Neema yako Bwana (Aiyelelele leleleee)
Neema yako Bwana
Neema yako

Neema yako
Ni Neema yako Bwana
Neema yako
Ni Muujiza (Ni Neema yako Bwana)
Ni Muujiza
Ni Neema yako Bwana
Ni muujiza

Yesu unaniwazia mema  (Ni Neema yako Bwana)
Mazuri unanitendea
Ni Muujiza
Ni Neema yako Bwana
Ni Muujiza