Lyrics:

Nakubaliana na neno lako, Bwana
(I’m in agreement with Your Word, Lord)
Nitasimama kwa Neno lako, Bwana
(I will stand on Your Word, Lord) (Repeat)

Ni Neno lako tu halibadiliki (It is only Your Word that never changes)
Ni Neno lako tu la kutumaini (It is only Your Word that is to be trusted)
Umeliiniwa juu ya jina lako, Neno (You have lifted Your Name, Your Word)
Halikurudii bure (Will not return to You in vain)
Neno la kinywa chako, Bwana (The Word from Your mouth, Lord)
Acha nilishikilie, nilitumaini, nikikungoja Bwana
(Let me hold on, trusting You, waiting for You Lord)
Acha nilishikilie, nilitumaini, nikikungoja
(Let me hold on, trusting You, waiting for You)

Kila ulilosema ni kweli (All that You have said is true)
Hata likikawia, ni kweli (Even if it delays, it is true)
Kila ulilosema ni kweli (All that You have said is true)
Hata likikawia, ni kweli (Even if it delays, it is true)
Ahadi zako kwangu ni kweli (Your promises to me are true)
Hata zikikawia, nakubaliana (Even if they delay, I agree with it)

(Refrain)

Daktari amenipa ripoti yake, sikubaliani
(My doctor gave me his report, I did not agree with)
Maana Bwana ulituma Neno lako ili mimi nipone
(For Lord You sent Your Word that I may be healed)
Majina yote duni niliyoitwa, sikubaliani
(All the bad names I was called, I do not agree with)
Maana mbele za Mungu ninafaa (For I am worthy before You God)
Tena mimi ni wa maana (Also I am important)
Maana mbele za Mungu ninafaa (For I am worthy before God)
Tena mimi ni wa maana (And I am also important)
Iwe kwangu utakavyo Baba (Do unto my situation as You will, Father)
Iwe nami upendavyo Baba (Do unto me as You will, Father)
Iwe kwangu utakavyo Baba (Do unto my situation as You will, Father)
Iwe kwangu utakavyo (Do unto me as You will, Father)

(Nitasimama) Nitasimama (I shall stand) x?

Repeat: Nitaishi (I shall live)
Nitaishi (I shall live) x4
Sitakufa (I shall not die)
Nitaishi (I shall live)
Milele (Forever)
Nitaishi (I shall live)
Nitaishi (I shall live)

Repeat: Nitasimama (I shall stand)
Niko na Mungu (I am with God)
Nitasimama (I shall stand)
Niko na Mungu (I am with God)
Nitasimama (I shall stand) x3
Nina Neno (I have the Word)
Nitasimama (I shall stand) x2

Repeat: Nitaishi (I shall live)
Nitaishi (I shall live) x2
Huduma yangu (My ministry)
Biashara yangu (My business)
Vyote vyangu (All is mine)
Nitaishi (I shall live)

Nitaishi, sitakufa, sitakufa (I shall live, I shall not die)
Nanena uhai leo maishani mwangu (Your Word brings Life into mine)