Video+Lyrics: In You I Live/Kwako Naishi by Dr Ipyana

Video+Lyrics: In You I Live/Kwako Naishi by Dr Ipyana

Lyrics:

Ancient of days king of glory
Great I am that’s who you are
Self-existing God beginning and the end
Alpha and Omega
You are my strength You’re my strong tower
Creator of all universe  .

You are my strength You’re my strong tower
Creator of all universe
You are my strength You’re my strong tower
Creator of all universe
In You I live I move and have my being
Creator of all universe  .

Kwako naishi, kwako naenda
Kwako napata uhai wangu
Kwako naishi, kwako naenda
Kwako napata uhai wangu
Kwako naishi, kwako naenda
Kwako napata uhai wangu  .

Creator creator
Creator creator  .

My healer strong tower
Redeemer deliverer  .

You are my strength You’re my strong tower
Creator of all universe
You are my strength You’re my strong tower
Creator of all universe
Kwako naishi, kwako naenda
Kwako napata uhai wangu
Kwako naishi, kwako naenda
Kwako napata uhai wangu  .

Mponyaji mponyaji, mponyaji mponyaji
Mfariji mfariji, mfariji mrafiji

Video+Lyrics: Sitakuacha by Dr Ipyana ft Gwamaka

Video+Lyrics: Sitakuacha by Dr Ipyana ft Gwamaka

Lyrics:

Ninakushukuru Yesu tukuza jina lako
Wewe ni kila kitu kwangu
Nionyeshe sura yako
Nikujue zaidi Bwana

Sitakuacha sitakuacha
Umenionyesha wema wako
(rudia *3)

Mweza* wa siku Alpha Omega
Mwanzo na mwisho wa imani Yetu
Ulikuwapo upo utakuwapo

Sitakuacha sitakuacha
Umenionyesha wema wako

Uuuuh uuu uuuuh
aah aaaah

Sitakuacha sitakuacha
Umenionyesha wema wako

Video+Lyrics: Moyo Wangu by Dr Ipyana ft Goodluck

Video+Lyrics: Moyo Wangu by Dr Ipyana ft Goodluck

Refrain:
Moyo wangu hauwezi (My soul/heart cannot)
Kukusifu kweli (Truly praise you)
Ila sifa zangu hizi (But here are my praises)
Bwana zikubali (Father accept them) (Repeat)

Hata ndimi elfu (Even a thousand times)
Hazitoshi kamwe (Are not enough)
Kukusifu kweli (To praise You in truth)
Kwa mapendo yako (For Your deeds) (Repeat)

(Refrain)

Ametenda/Amefanya (He has done)
Tena ametenda/amefanya (Once again, He has done) (Repeat)

Haleluya, Haleluya (Hallelujah)
Haleluya, Hale Haleluya (Hallelujah) (Repeat)

(Refrain)

Video+Lyrics: Wanishangaza/Utukuzwe by Dr Ipyana

Video+Lyrics: Wanishangaza/Utukuzwe by Dr Ipyana

Lyrics
Eeh Enheh
Anhaa
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
(Fadhili zako)
Fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Ubarikiwe milele mfalme)
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
Ubarikiwe milele fadhili zako ni za Milele
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Now you can be free to dance for the Lord)
(Music)
Wanishangaza Matendo yako ya ajabu
Utukuzwe umetenda mema baba
Wanishangaza Matendo yako ya ajabu
(Matendo yakooo)
Matendo yako ya ajabu
(Utukuzwe baba)
Utukuzwe umetenda mema baba
Wewe ni Mungu uh
Wewe ni Mungu u u uh
(Wewe ni Mungu)
Wewe ni Mungu u uh
Utukuzwe umetenda mema baba
(Utukuzwe)
Utukuzwe umetenda mema baba
(Wewe ni Mungu)
Wewe ni Mungu u uh
(Utukuzwe umetenda mema baba)
Anhaa
(Now let’s go again)
(Music)
(Come on)
(Music)
Break
1 2
(Music)
(Music)
Wanishangaza matendo yako ya ajabu
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Wanishangaza Bwana)
Wanishangaza matendo yako ya ajabu
Utukuzwe umetenda mema Baba
(Wanishangaza Bwana)
Wanishangazaaa